Patricia
Namba Today I was practicing some numbers in Swahili. 59 = Hamsini na tisa 234 = Mia mbili thelathini na nne 452 = Mia nne hamsini na mbili 3.689 = Elfu tatu mia sita themanini na tisa 1102 = Elfu mia na mbili 11.765 = Elfu kumi na moja mia saba sitini na tano 105.899 = Laki na tano mia nane tisini na tisa 287.435 = Laki mbili themanini na saba mia nne thelathini na tano And the hours: 12:45 pm = Saa sita na dakika arobaini na tano mchana 10:32 am = Saa nne na dakika thelathini na mbili asubuhi 04:05 pm = Saa kumi na dakika tano mchana 06:28 pm = Saa kumi na moja na dakika ishirini na nane jioni 08:40 pm = Saa mbili na dakika arobaini usiku
Sep 14, 2014 4:20 PM
Corrections · 2
natumai uliweza kuendeleza usemi wako wa Kiswahili )) (i hope you managed to improve your swahili) I can assist you with Swahili and maybe you can assist me with Spanish.
May 28, 2015
ume kosea kidogo...6:28 Saa kumina mpili na dakika ishirina nane jioni
February 16, 2015
Want to progress faster?
Join this learning community and try out free exercises!