Ben
Swahili Intro 2 Habari. Jina langu ni Ben. Natoka Marekani. Mimi ni mwanafunzi. Ninapenda kusoma, ninapenda kucheza mpira wa kikapu, na ninapenda kutenda parkour. Pia, ninapenda kusoma lugha, kuvua, kuwinda, na pia sana ninapenda kuwa kwa marafiki.Katika shule, ninapenda kusoma elimu na elimu ya hesabu. Mwishowe, sana ninapenda kufunza na kusaidia watu. Mimi ninataka kusoma kusema kiswahili, kwa sababu ninataka kuenda kwa kenya na kuwa mwalimu. Ninataka ama kuwa mwalimu, mwanasayansi, mhandisi, au labda msafiri. Pia, wakati mwingine ninacheza "videogames" na ninaangalia televisheni. Mbele ya hiki, mimi nilijaribu kusoma kirusi, lakini si nilikuwa na hamasa, na nilikosa. Lakini sasa, nina hamasa, kwa sababu ninataka kuwa mwalimu.
Oct 29, 2014 1:10 AM
Corrections · 1
vizuri. Usijali utafanikiwa. Ongeza juhudi
February 14, 2015
Want to progress faster?
Join this learning community and try out free exercises!