My name is John - Jina langu ni Yohana
I'm 30 years old - Nina umri wa miaka thelatini
I'm from Kenya - Mimi ninatoka Kenya
One of my hobbies is reading - Moja ya kozi yangu ni kusoma
I've been learning Swahili for a year - Nimekuwa nikijifunza kiswahili kwa mwaka mmoja