Sisi tunakunywa na tunakula.
Leo, mimi nilipika kuku na wali. Mama yangu na mimi tulipikia pamoja mara kwa mara. Nimefahamu kupikia ni kweli furahi. Siku za leo sisi tunakunywa chai bovu, lakini marafiki yangu wanapenda sana kunywa pombe. Hapa wasichana wamekunywa kahawa na maziwa mara nyingi. Kahawa yao ina maziwa, mbegu ya kawaha, na kura ya sukari. Nimejua sukari ni uhali mbaya. Jikoni yangu ni kidogo kubwa, lakini ninamiliki jicho kubwa pia. Je, wewe unamiliki jikoni kubwa, au vyumba vigine kubwa?Sisi tunakunywa na tunakula
Leo, mimi nilipila kuku na wali.Miye na mamangu huwa tunapikaga pamoja mara kwa mara.
Nimefahamu kwamba kupika ni raha kweli.Siku hizi tunakunywa chai mbovu(?) Lakini marafiki zangu wanapenda sana kunywa pombe.Hapa wasichana wanakunywa kahawa na maziwa mara nyingi.Kahawa yao ina ina maziwa,mbegu za kahawa na kura ya sukari.(nimejua sukari ni uhali mbaya?????)
Jiko langu ni kubwa kidogolakini nina(??????)??????I do not understand what it is you would like to say????and the rest we can discuss too.....somehow the meaning seems to be lost...
Sisi tunakunywa na tunakula.
Leo, mimi nilipika kuku na wali. Mama yangu na mimi tulipikia pamoja mara kwa mara. Nimefahamu kupikia ni kweli furahi. Siku za leo sisi tunakunywa chai bovu, lakini marafiki yangu wanapenda sana kunywa pombe. Hapa wasichana wamekunywa kahawa na maziwa mara nyingi. Kahawa yao ina maziwa, mbegu ya kawaha, na kura ya sukari. Nimejua sukari ni uhali mbaya. Jikoni* yangu ni kidogo kubwa, lakini ninamiliki jicho kubwa pia. Je, wewe unamiliki jikoni kubwa, au vyumba vigine kubwa?* You don't need the suffix -ni here, that makes it mean in or on.
** this means "People here are oil." Did you mean to say, " People here eat a lot of oil?" Because that would be "watu hapa wanakula mafuta mingi"
***What are you trying to say here? if you want the plural of business it is just biashara
**** Do you mean about? about in Kiswahili is kuhusu( literallly translates to "to concern" or "concerning")