Austine Sikuku
Profesyonel Öğretmen
Jambo, jina langu ni Austine kutoka nchini Kenya barani Afrika. Mimi ni mwalimu wa lugha ya Kiswahili. Ninapenda sana kuimba nyimbo za Kiswahili.
13 Ara 2024 10:05
Yorumlar · 1
Unaweza tuma ombi la kipindi cha jaribio
13 Ara 2024 10:06