Swahili Phrases
Swahili Phrases
00:59
2024년 12월 7일 오후 8:45
설명
Simple Swahili phrases The teachers are seated on the chairs - Walimu wameketi kwenye viti Do not play on the roofs of houses - Msichezee kwenye paa za nyumba It is dangerous to stand between strangers - Ni hatari kusimama katikati ya watu usiowajua Peter hide behind the tree - Petro alijificha nyuma ya mti Oloo is sleeping under the bed - Oloo amelala chini ya kitanda
팟캐스트 채널
Austine Sikuku
작성자