(Ms) Mercy Macharia
辅导教师
Hujambo? Twapenda kujitanda kanga. Kanga pia huitwa leso. Kanga pia, ni ndege mwitu anayefanana na kuku na ana madoa meupe na rangi ya kijivu iliyokoza kwenye manyoya. Vilevile, kanga hutumika kudhihirisha ustaarabu wa mwanamke pamoja na hadhi yake. Kanga yaweza tandikwa chini pia watu wakibarizi ama wakila chakula, kwa mfano pilau kwa kachumbari na sharubati ya maembe. Kanga huweza kutumika kupitisha ujumbe maalum, aghalabu na kina mama wanapojitanda. Napenda kujitanda kanga kama binti wa Afrika Mashariki 🌟❤️🔥
0:45
2024年10月30日 06:39